UJUMBE WENYE MOTISHA

Mtu yoyote aliyefanikiwa nyuma yake kulikuwa na hamasa kubwa ambayo imefanya ifike hapo alipofika. hamasa ni kitu ambacho huchochea utenaji kazi na kumfanya mtu aongeze ufanisi katika shughuri anayofanya. Kwa kiwango kikubwa mjasiriamali anahitaji hamasa kubwa ili asikate tamaa kwa kile ambacho anakifanya, hamasa au motisha inajenga uwezo na kujiamini kwa mjasiriamali.

katika dunia hii hakuna aliyezaliwa tajiri au masikini, utajiri au umasikini ni matokeo ya kufanya kazi kwa bidii au kutofanya kazi kwa bidii. hamasa huchangi kumpa mtu mtazamo chanya na kutokata tamaa wakati mambo yanapoenda kombo, pia hamasa hutupa muelekeo sahii katika kuchukua hatua na kufanya kazi kwa bidii bila woga.

jumbe zenye motisha

1. Maisha yako yapo mikononi mwako...

2. Siri ya kupiga hatua ni kuanza hatua!...

3. kwa mafanikio ya kweli jiulize maswali haya manne, kwanini?.....kwanini sio?....kwanini sio mimi?....na kwanini sio sasa?...

4. Haiwezekani ni neno linalopatikana kwenye kamusi ya mjinga..

5. Jifunze kufurahia kila dakika ya maisha yako,kuwa na furaha sasa,usisubili mtu toka nje akupe furaha, raha jipe mwenyenyenye...

6. ili ufanikiwe lazima uwe tayali kufeli..

7. Kufeli ni matendo ya kilasiku katuika maisha yetu lakini mafanikia nia sehemu ndogo tu...

8. usikubali mtu akuangushe chini, simama katika upande sahihi, onyesha nini unataka na kipi unafanya, unahaki ya kufanya kile utakacho, lakini kuwa makini kuchagua kitu sahihi ili mwisho wa siku usilaumu uamuzi wako..

9. Hata mbuyu ulianza kama mchicha..

10. usilaumu watu wanaokuzunguka, jifunze kulaumu nafsi yako mwenyewe kwa kuangalia makosa unayo fanya katika maisha yako na kuyalekebisha..

11. kama unazungukwa na watu ambao hawakusaidii kuwa mtu sahihi....unapoteza njia na nafasi ya kuwa mtu sahihi

12. vitu vyote vilivyo undwa na binadamu ni ndoto za binadamu..

13. kila kitu ni kigumu kabla...huwa rahisi baada...chukua hatua kwa kile ambacho unataka kufanya..

13. unaweza kwa sababu unafikiri unaweza, huwezi kwasababu unafikiri huwezi..

14. mtu ambaye hafanyi makosa ni mtu ambaye hafanyi chochote..

15. umezaliwa upate mafanikio na sio kufeli..

16. wote wenye mafanikio wake kwa waume ni watu wenye ndoto nyingi,hufikiri maisha yao ya mbele,huweka mipango thabiti  na hufanya kazi kwa bidii ili kukamilisha ndoto zao..

17. hakuna ajari, kuna kitu cha msingi hjakielewa..

18. kuna wale wanao ota na kubaki na matamanio kwa yale wanayo ota na kuna wale wanao ota na kufanya kazi kwa bidii ili kutimiza ndoto. je wewe upo upande gani?

19. haijalishi ni jinsi gani yalikuwa magumu unaweza rudia tena..

20. huku ukijiamimi elekea upande wa ndoto zako, ishi maisha unayofikiri ni sahihi..

21. vyote unavyo fanya sasa nimatokeo ya mawazo na mipango yako ya nyuma..

22. jifunze kutokana na ya jana, ishi leo, kuwa na tumaini la kesho. kitu cha msingi usikate tamaa..

23. siri ya mafanikio katika maisha ni kutafuta kazi ya kufanya na kuifanya kwa bidii..

24. jinsi ulivyo ni matokeo ya jinsi ulivyo fanya, jinsi utakavyo kuwa ni jinsi unavyo fanya..

zawdi kubwa kwa mtafutaji si kipata kile anacho tafuta bali ni jinsi atakavyo kuwa kutokana na kile anachotafuta..

25. usifuate hatua za mwenye busara,fuata busara zake..

26.katika maisha watu wengi wanafahamu vitu vya kufanya lakini ni wacahache wanaofanya vitu wanavyofahamu...

No comments:

Post a Comment